Recent content by vincent

  1. V

    JamiiForums Tanzania Je, Wabunge wa CCM ni mashujaa au wanafiki na "opportunists" ?

    Ndugu, Nijibu swali letu juu ya hawa wabunge wetu wala si chochote. Wameshaanza ubabaishaji wa kuanza kuhonga watu ilwa wachaguliwe tene. Ni miezi 18 iliyobakia utasikia wameanza ubabaishaji wao. Oh! nitewafanyia hiki na kuwaletera kile. Wemeanza kutuzungukia wakinadi kula yao. Wengi wao ni...
Back
Top Bottom