Recent content by Vikao vya Harusi

  1. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

    You will be notified through emails, once you see no email consider yourself out
  2. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Mwenye group la oral TMO II
  3. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Kwa vilio vinavyosikika kutoka kwa wabunge Ni dhahiri NBAA na TRA wamefanya kazi nzuri kwenye mchakato wa usaili

    Nilienda oral ya MDAs, tulipata muda mwingi sana wa kuongea na supervisor toka utumishi. The issue is; utumishi hawapendi interview zifanywe na TRA ila Kuna kauli ya wazito ndio ilifanya haya. Ila tunashukuru bodi kukazaaaaaa! Wasiachie hapo hapo, wapewe na zingine
  4. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Hata wewe leta ya kwako
  5. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    If below 2mil asijisumbue kuja pm
  6. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Kaka Nina uhakika salary slip yangu ya Sasa hufikii hata nusu ya gross pay yangu, watu tuna sababu nyingi za kutaka kuingia serikalini, kama unataka uone ninacholipwa njoo Pm
  7. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Kada Gani TFS?
  8. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Kaka stress ni huyu mwajiri wangu wa Sasa yapata miezi mitatu Kuna jambo langu kalishikilia
  9. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Salaam Wana jamvi, swali ni kama linavyo jieleza. Nilifanikiwa kuingia oral ya nafasi ya ACCOUNTS OFFICER II iliyofanyika tarehe 05.04.2025, najua Kuna wajuzi ambao Wana za "ndaaani" kuhusu ni lini UTUMISHI watsanza kuita watu makazini. Naomba kuwasilisha!
  10. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu wa fani mbalimbali kwaajili ya Microfinance Mbeya Mjini

    Mzee wa kuhangaika. Unataka jina au KAZI?
  11. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Mkuu Kuna mtu ni mhasibu msaidizi pale(....) analipwa 8mil, Hana CPA wala Masters, NSSF yake inasoma 70mil+, lakini Bado hajiamini anataka hizi hizi za sisi walala hoi
  12. Vikao vya Harusi

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Hongera kwa kutoboa oral mzee
Back
Top Bottom