Recent content by vijo

  1. V

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu

    Chimbuvu hivi kwa kuchoma pekee bila kuchanganya na chemical yeyote kuna uwezekano wa ku-identify how purity!!? na 1tola ni grms ngapi maana huku wanazungumzia grma tu na si tola?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu

    Okey sawa kiongozi(Chamlungu), mie niko Chunya kwa sasa, ila around february nitakuja hapo DAR, naamini tutawasiliana tu, na huku hasa hilo ndo limenileta kupata kauzoefu kidogo!
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wajasirimali, Mwaka 2013 uwe mwaka wa Action zaidi kuliko Matendo

    kuunganisha mtaji ndio mpango wenyewe, sasa tatizo wabongo hatuaminiki, mmoja akiondoka kwenda kwenye mipango mingine aliyebaki anaharibu au kutaka kuiba kidogo, hata hivyo mkijiunganisha muungane mwingine hawi na nia moja ya kufanikiwa na kufika mahala fulani, tayari yeye ni kizuizi cha kusonga...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu

    Ahsante mkuu, naona hapo umenipa mwanga wa kutosha!!
  5. V

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu

    Wana jf nilikuwa na wazo la kuanzisha kabiashara kadogo kakununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kwenda kuuza kwa wenye sonara hapo dar, kama kuna mtu anauzoefu na biashara hii changamoto zake na inaugumu gani, na jinsi yakuweza kuitambua pure gold, kuna kifaa chochote portable ambacho...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Duh! Walimu wanakazi! Hebu icheki híi>

    Duuu hii kali, sasa ticha si angesubiria jibu kwanza!
Back
Top Bottom