Recent content by VIJANA SINGIDA

  1. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kumfananisha Mwigulu kama vile Sokoine

    Sisi vijana tunaona uchapakazi wa kijana mwenzetu ktk kila nyadhifa anayoipata,ili uwe mwanasiasa imara unapaswa kuitendea haki nafasi unayoipata hata iwe ndogo kiasi gani ndicho nilichojifunza kutoka kwa Mwamba wa kanda ya kati Mwigulu nchemba, URAIS UNAMTAKA MWIGULU NCHEMBA 2015...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mpinzani Mpya wa Mwigulu apatikana

    anagombea ubunge sio urais
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mpinzani Mpya wa Mwigulu apatikana

    kitila ni msaliti hafai hata kidogo,huku iramba hawamtaki tena
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mpinzani Mpya wa Mwigulu apatikana

    Ni Mwanasheria machachari George Kidindima ametangaza nia ya kugombea Ubunge ktk Jimbo la iramba magharibi 2015 kupitia CHADEMA -Kidindima amepata kuwa Mhadhiri msaidizi ktk Chuo ya uhasibu Singida campus pia ni mwandishi wa vitabu kadhaa vya business law, Source;Mwigulu nchemba vs Kitila...
Back
Top Bottom