Recent content by victor shio

  1. victor shio

    Dereva wa maisha bora kashindwa kutufikisha: Huyu wa matumaini ataweza?

    Mamvi anajua watu wote wanaishi kwa matumain kama yeye.
  2. victor shio

    Dr. Slaa ndio mkombozi wa watanzania 2015. Atafumua mfumo huu uliofeli miaka 50 tangu uhuru

    Wenye uweledi na maono ndio wa najua kuwa Dr slaa nirais wa awamu ya tano nichaguo la watanzania.
  3. victor shio

    Dr. Slaa ndio mkombozi wa watanzania 2015. Atafumua mfumo huu uliofeli miaka 50 tangu uhuru

    Dr slaa ndio mwadilifu kushinda watangaza nia wote pia kwenye ukombozi atawakomboa pia wasio amini kama wewe
  4. victor shio

    Dr. Slaa ndio mkombozi wa watanzania 2015. Atafumua mfumo huu uliofeli miaka 50 tangu uhuru

    Inatakiwa akili ya juu zaidi kutatua matatizo ya watanzania kwani akili za ccm zaku tembea na wanyama kutumia jembe na nyundo zimeshidwa Dr wa ukweli sio waku gushi kama kikwete sory jamani kikwete.
  5. victor shio

    CHADEMA Yasimamisha Dodoma

    Mlala njaa niwewe unae ishi kwakuuza utu wako kwa bu7 nakurushiwa kanga na kofia pole mdada ujasoma alama za nyakati. Ahsanteni Ukawa kwaku wabinyia mafisi dawa mpaka yametoka porini
  6. victor shio

    CHADEMA Yasimamisha Dodoma

    Tunacho jadili hapa ni watu wa dodoma wamepewa elim ya uraia wameelewa sasa mambulula wengine wanakuja hapa kuvuja matusi badala ya kuwapongeza ahsante dodoma kwa kazi ya Mungu mlio fanya leo mafisi yote yamejificha msibani mji umetekwa na wenye nchi
  7. victor shio

    CHADEMA Yasimamisha Dodoma

    Chadema moto chini mpaka magamba yanatoa povu Ahsanteni makamanda akuna kulala mpaka maboya ya ccm yalale
  8. victor shio

    CHADEMA Yasimamisha Dodoma

    Habari ndio hio tuko katika ya Tanganyika ukawa kiulaini magogoni wagogo wameelewa
  9. victor shio

    Tundu Lissu: Tutazichapa bungeni kuzuia mswada haramu wa vyombo vya habari

    Ccm wa najua awana lao nisawa na mnyama anae kata roho ukiwa karibu yake anaweza kukudhuru kwani anarusha mateke sana ndio maana miswada mibovu kama hii inakuja kipindi hichi ambacho tuna chinja.
  10. victor shio

    Watangaza nia walikuwemo bungeni tangia 2000 - 2015

    Mafisadi wakutupwa leo hii wana jitekenya mwenyewe na kucheka yenyewe Tuna wasubiri wamalize ngonjera za kutangaza nia za wizi. Sisi tuna waimiza watu kujiandikisha
  11. victor shio

    Watangaza nia walikuwemo bungeni tangia 2000 - 2015

    Wakati Mwingine huwa nahisi viongozi wengi wa ccm sio watanzania kwani awanagaa hata uruma kabisa kwa mateso tulio pata miaka 54 wangekuwa na roho ya kitanzania wange juuzulu wote
  12. victor shio

    Watangaza nia walikuwemo bungeni tangia 2000 - 2015

    Mungu uwalinde watu hawa wanao jua kuchambua mambo kwakina ccm imelaaniwa ndio maana akuna msafi
  13. victor shio

    Tundu Lissu: Tutazichapa bungeni kuzuia mswada haramu wa vyombo vya habari

    Kweli ukawa noma ccm sasaivi kimekuwa chama cha siri endelea kujikana gamba limewabana
  14. victor shio

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Ana jipya mkuu kumjadili msalit nisawa na kumpiga chura teke una muongesea spid
Back
Top Bottom