walio wengi huku ni HAMNAZO, Hawana akli badala ya kuchangia hoja wanatukana. Hamjui kila mtu yupo huru kusema kile anachotaka? mradi tu asiende kinyume na sheria. BADILIKENI NYIE HAMNAZO
sasa siyo muda wa kulumbana kumtafuta mchawi nani, hata wangeenda kumuona hao viongozi wa chadema wasingeweza kubadilsha uamuzi wa MUNGU so lakufanya ni kumuomba mungu awape faraja ndugu hao walio fikwa na msiba huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.