Recent content by victor mwanjela

  1. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Vijana Tushikane mikono Sasa if possible
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Zile nafasi acha nisiongee nizidi kupiga Dua
  3. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Ngoja tusubili tuona ndugu mungu nimwema
  4. V

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Watu wanapata bwana usiwavunje moyo watu machungu yakupoteza gharama zako kufanya interview ukakosa usilete kuwaaminisha watu ajira zinatangazwa geresha acha watu wapambane nawao waone usikatishe watu tamaa kila mtu na njia yake kwenye hii Dunia tulia dada subili
  5. V

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Mungu kwanza bro waliopo kwenye system sio wote waliingia kwa mfumo wa connection Mzee jiamini soma omba mungu kapambane subili majibu
  6. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Ikitokea third selection ni baati sana aisee Tuombe mungu mana wale walienda kitambo sana nimiezi minne imepita sasa
  7. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Sema ikitokea Tangazo mwezi huu ?
  8. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Aha Kwa Ni minne kaka mbaka sasa mana walienda mwezi wakumi ivi degree walifika ata miatanao?
  9. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

  10. V

    Kwani second walienda tayari ?
  11. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Tuzidishe Dua aisee
  12. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Duh ngoja Tupambane
  13. V

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    TPDF ivi mbaka upite Jkt ?
Back
Top Bottom