Recent content by vickboy.com

  1. V

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali mwenye kulijua hili

    habarin wana jf. nina mdogo wangu alichaguliwa chuo cha mpwapwa lakin hajaripot mpaka sasa kutokana na kutafuta mahitaji pamoja na ada. But now amepata ila wasiwasi wake huko chuoni atapokelewa!? maana chuo kimefunguliwa toka trh 6 mwez wa 10. Pia naomba mweny namba ya mkuu wa chuo au makamu au...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Nichukue PCM au PCB, naomba ushauri wako

    chukua zote
  3. V

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ada ya diploma vyuo vya Serikali

    Laki 6
  4. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa juu ya jambo hili

    yanahesabiwa pia.
  5. V

    JamiiForums Tanzania St. Joseph University College of Information Technology-( msaada tafadhali)

    mm niliacha mwaka jana. ngoja aende atajionea mwenyew kuitwa attendance kama shule ya msingi, wahind wa kule chenga tu,
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

    umeshasapp mara ngapi!
  7. V

    JamiiForums Tanzania Ada ya mafunzo ya ualimu stashahada ya juu na stashahada ya kawaida ya shule ya msingi

    majina ni hayohayo tu yaliyotolewa mtakoma mwaka huu
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ada ya mafunzo ya ualimu stashahada ya juu na stashahada ya kawaida ya shule ya msingi

    Ndg wana jf naomba kujuzwa kama kuna tofauti ya karo kwa mafunzo hayo maana nacte waliandika gharama ya mafunzo ya stashahada ya juu ni laki 6 but kuhusu mafunzo mengine hawajasema kuwa kiasi gan , naomba kufahamshwa kama kuna tofauti na kiasi gan kwa mafunzo kama stashahada ya kawaida ya elimu...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Ada ya laki 6 mafunzo ya ualimu inatunyima fursa wanyonge

    Asante if god wishes nitakuja but hali tete!
  10. V

    JamiiForums Tanzania Ada ya laki 6 mafunzo ya ualimu inatunyima fursa wanyonge

    huo ndo ukweli wenyew mkuu mimi ndo each and everything!
  11. V

    JamiiForums Tanzania Ada ya laki 6 mafunzo ya ualimu inatunyima fursa wanyonge

    Habarin wanaJF. Mwenzenu nimechaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu(diploma) katika chuo cha Mpwapwa lakini kutokana na kupanda kwa ada naona kama ndoto ya kusoma inapotea kutokana na hali mbaya kiuchumi niliyonayo maana sina msaada mwingine zaid ya kujisimamia mwenyewe. Naombeni ushauri...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Sijachaguliwa kujiunga na chuo, inaniuma sana

    na mitaara yenu ya india hiyo nan aje.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Mara: Kijiji chaajiri walimu wasio na mafunzo kufundisha shule ya Serikali

    Huo Ndo Ukweli Wenyewe Maana Mi Mwenyew Baada Ya Kumaliza Form 6 Nilifanyaga Tempo Somewhere Madogo Walikuwa Wanapaform Vizur Kweny Somo Langu Kuliko Hata Walivokuwa Wanafundsha Hao Wanaojiita Maprofessional Na Niliona Kwa Macho Yangu Kuwa Baadh Ya Walimu Ni Chenga Tu Japo Wamepita Vyuon, So...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Mara: Kijiji chaajiri walimu wasio na mafunzo kufundisha shule ya Serikali

    kwan hawaelewagi hao watoto, acheni complication za ajabu,
Back
Top Bottom