Recent content by Vicent Kagabu

  1. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Mbona walisema terehe 18 November ndio watatangaza washindi na mpaka sasa ni kimya tatizo ni nini
  2. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Kupitia andiko hili nimejifunza mengi mapya. Lazima kwanza tukubali kubadilika.
  3. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Asante kaka kwa kuona mchango wangu
  4. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Mimi shida yangu ipo hapo kwanini Serikali wanatoa vibali kwenye mkaa? Hivi kwann Binadamu tunakosa akili? Tunajua tunahitaji miti ili tuweze kuishi kwanini mkaa usipigwe marufuku? Mimi ndio maana nachukia wanasiasa. Ni lazima tuyatunze Mazingira yetu. No way tunapoendea tutakuwa pabaya Sana...
  5. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Iligoma kuUpload kwasababu ya format
  6. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imepatwa na nini, njooni tujadili tukiamshe hiki Chama Pendwa

    Inaumiza sana
  7. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Bwana mdogo nimesoma uzi wako hakika umejua kutisha hongera sana
  8. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imepatwa na nini, njooni tujadili tukiamshe hiki Chama Pendwa

    Kila mtu ajipe muda aende Makao Makuu CHADEMA siku za kazi, atakachokiona kama ni mpenda mabadiliko anaweza kulia. Nje pale Kuna walinzi wawili na anaweza kuwepo Afisa mmoja tu mara nyingi anakuwepo Kamanda Mashuve au Meshack au Remigius. Ni ngumu sana kuwakuwa wakurugenzi au kumkuta Katibu...
  9. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania Uharaka unahitajika kwenye maamuzi ya CHADEMA

    Upo sahihi sana Baraza Kuu la Chama 2019 liliazimia zifanyike Chaguzi za Mabaraza za Kanda. Lakini mpaka leo hazijafanyika Mnyika amepwaya sana. Ni Kiongozi mzuri lakini sio mtendaji kabisa. In short hafai kabisa kuwa Katibu Mkuu Hata BAVICHA baada ya Nusrat kuondoka wameshindwa kufanya...
  10. Vicent Kagabu

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbumbu ya Miaka 23 ya Kifo cha Baba Wa Taifa

    Nyerere alikuwa anakipenda zaidi Chama Cha Mapinduzi kuliko Tanzania.
Back
Top Bottom