Recent content by viavia

  1. V

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufuta nafasi moja kati ya nilizoomba UTUMISHI?

    Naona mwamba baada ya kupata solution ametoweka
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tax Management Officer II vs Custom Officer II

    For sure aisee
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    God's time is the best time.Take courage mkuu, soon mambo yatakua poa
  4. V

    JamiiForums Tanzania Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Sidhani kama kuna ukweli wowote katika hili, but anyway things happen
  5. V

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

    Mkuu be strong, fanyia kazi izo remark yao You never know , there is always next time
  6. V

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman

    Namba lazima waweke wakati uo uo nenda kwenye my applications then angalia
  7. V

    JamiiForums Tanzania Waombaji wa kazi BRELA zimetoka

    Nenda kwenye my application ndo utaona
  8. V

    JamiiForums Tanzania Waombaji wa kazi BRELA zimetoka

    Chekini akaunti zenu wadau walioomba
  9. V

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman

    Inabidi atleast uende serikali za mtaa uchukue barua ya utambulisho, pia ambatanisha na lost report labda watakufikiria maana swala la id wanatilia mkazo mno kwa macho nimeshuhudia watu wakishindwa kufanya usaili kwa kukosa kitambulisho so fanya kila unachoweza kupata evidence za kutosha
Back
Top Bottom