Nilikuwa najamaa yangu pale Sayona kama vibarua maisha yalitutandika hadi tukaenda kwenye hilo jengo Lao. Ukifika Nia na madhumuni yako unawaeleza walinzi getini wako poa na majibu yote ya namna ya kuunganishwa wanakueleza huwezi kujiunga wewe mwenyewe kisa unataka.
Huwa natafuta namna ya kupambana na nguvu hasi. Nimeanza na chumvi ya mawe soon nitajaribu na hiyo. Sometimes unajihisi kama umerogwa na aliyekuroga ukianza kumfikiria humjui.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.