Recent content by Viakuyu

  1. V

    JK kwenda Ufaransa leo

    Hamna cha kushangaza wajameni mbona kaalikwa tu na waziri mkuu wa Italy, na offcourse ni moja ya majukumu ya rais kujega mahusiano mema na nchi nyingine diniani kote,sasa cha kushangaza ni nini?
  2. V

    Buriani Amina Chifupa!

    Jamani,Kama sio mapenzi ya mwenyezi Mungu.Ninamlaani kwa mabaya yote duniani na mbinguni kwa yeyote kwa njia moja ama nyingine anayehusika na kukatisha maisha ya dada yetu Amina Chifupa. Amina amekuwa muwazi kwa yale yote aliyoyaona yanafaa na yasiyofaa katika nchi yetu. Nawalaumu sana jeshi...
Back
Top Bottom