Yeeeees!
Ni uchawa zaidi ya sheria.
Juzi kwenye mkutano wa Makonda waandishi walikuwa wana kiss ass ya Makonda hata alipokuwa anaongea vitu vya kihuni.
Huwezi kusema ni sheria zinawabana.
Makonda alimzodoa mkosoaji mmoja kwa kusema ameweka dawa feki ya rangi ya nywele kichwani...
Hawajui sasa kama kuna sheria imevunjwa. Wamesema hawana uhakika! Hawajui!
Ushawahi kusikia wapi duniani wataalam wa sheria wanaona tendo fulani halafu wanaitana kikao cha kuchambua kama ni kosa ?
Ina maana hakuna kosa linalojulikana.
Na ni kwasababu Wizara ya Michezo na Utamaduni sio...
You are putting the horse before the cart.
Wait for final outcome of the case b4 we start breaking out champaigne corks.
You have no freaking idea what the verdict of the case will be.
DO NOT ANTAGONIZE THE JUDGES. AT THIS TIME BE HUMBLE
TAKWIMU za matokeo ya uchaguzi hazibandikwi kwenye tovuti ya popote. Wakibandika wamependa tu kuremba tovuti.
TAKWIMU za uchaguzi zinabandikwa kwenye GAVORNMENT GAZETTE, BY LAW
Japo mpaka leo uchaguzi wa Magufuli vs Lissu haujatangazwa kwenye Government Gazette.
Na Lissu amelalamika hili...
Kwa hiyo UBALOZI walikataa kulipa kupitia serikali. Wanataka kuonana na mwenye mali
Lakini UBALOZI walipotaka kujua bei waliende kuuliza Serikali. Hawakutaka bei ya mwenye mali.
Huo utakuwa UBALOZI wa nyumba kumi, Manzese kwa Mfuga Mbwa.
Video imeondolewa ili kulinda utu wake, kwani video iliwekwa na nani, sio yeye mwenyewe ????
Mamaake Emit Till ali insist jeneza na mwanae likae wazi mpaka kaburini ili dunia ione walichomfanya mwanae..
Picha kasambaza Bakari mwenyewe, kwa makusudi maalum, wewe unasema unalinda utu wake, are...
Kwa hiyo yeye amewa import kutoka Pacific Ocean kuja kuwapanga kwenye meza Survey barabarani ? Eeeeeh ? Awauze basi huko huko California apate dollar!
Salmon, samaki namba moja mwenye nutrients ya Omega 3 hapatikani East Africa. Yupo Pacific Ocean and Atlantic Ocean huko.
Indian Ocean marine...
1. Mtu anadai haki yake utasemaje analeta vikwazo ??? i ???
2 Wanaolwamisha kesi ni mahakimu corrupt and incompetent, hawajui sheria nahawako accountable.
Mirathi haiendeahwi na
hiari za warithi Vkwazo vya mrithi havina nafasi au nguvu ya hasimamisha na kuua kesi isiendelee.
Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.