Kuna sehemu mtu kauliza je nisahihi kumpa mmewangu marinda watu wakajibu mpe tuuu ni mumeo wa kufa na kuzikana
Kwakweli zama hizi ni za mwisho watu hawaogopi lolote juu ya usodoma
Habari zenu wote
Nisipoteze muda nipo kwenye mahusiano na mtumishi wa Mungu ni mchungaji yupo uko kusini anafanya injili vizur sana yan sana.
Tulikutana FB alikuwa anatuponda wadada tunaoweka ubandia mwilini kama kope kucha nywere nk. Nikamwambia Asante kwakutusaidia tunaendelea kupona ndo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bas bhana mkifika uko ye atachagua penye kagizagiza atatulia huko utamsimulia vyoote utamwonesha vyoote ila ye atakuwa anakenua tuuu kama ndo mchana atavaa kapelo ohooo chezea ukimya wew
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.