Recent content by Verij

  1. V

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili ya mkopo wa HESLB ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 Oktoba?

    Unataka kutu hakikishia zege hailali?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili ya mkopo wa HESLB ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 Oktoba?

    Babu ni kweli Ila umejibu kinyamaaa dah!😂
  3. V

    JamiiForums Tanzania HESLB loan allocation 2020/21: ZIMESHAANZA TEMBELEA ACCOUNT YAKO CHAP

    Ngoja tusubir Bach ya 2 bhan😊
  4. V

    JamiiForums Tanzania HESLB loan allocation 2020/21: ZIMESHAANZA TEMBELEA ACCOUNT YAKO CHAP

    🤣🤣🤣 Nlikua na huzn lkn nmecheka
  5. V

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Accountancy with IT

    🤝 Kwa kua umeelewa kidogo na ukatambua ivyo. Wacha tuone sasa NBAA watakofyofanyia mchakto course hii na kuweza kutambulika rasmi kwao
  6. V

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Accountancy with IT

    🤣 Unaeza nsaidia labda. Ni masomo gani ya account Apo yameondolewa yakapachikwa ya IT kijana Kisha nenda pitia intermediate level kwenye CPA utakuta ni masomo gani yame miss ambayo ungepaswa kusoma wakati unachukua degree yako ya kwanza
  7. V

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Accountancy with IT

    Nimekupatia challenge uangalie Kama Bodi wamekwisha tambua hii kozi ama la,then upate majibu ya kuridhisha. Kujiba swali lako straight ni changamoto kidogo wew n msomi now Anza kufuatilia taarifa mbalimbali kuhusu professional qualifications za bodi mbalimbali na criteria zake then utuletee jibu...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) wanatokaje awamu hii?

    Kwanza majina yenyewe lini?
  9. V

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Accountancy with IT

    Sawa boss uliyesema yote ni sahihi. Lakini ngoja nkulize swali NBAA wanatambua course hi ya BAIT? Ningeomba ujiulize kukuwezesha kua professional accountant ( CPA holder) Kama ni lengo lako, lakini Kama ni kuwa muhasbu wa kawaida fresh tyu piga iyo course
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Barchelor of Accountancy na Barchelor of Accountancy with IT?

    Jitahidi kumuliza lengo lake ni kuja kua professional accountant au accountant wa kawaida tu? Then Kama anahtaj kua professional apige pure accountancy IAA
Back
Top Bottom