Samahani wana jamii,,,,kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi ya kuprint Nguo kama T shirt, kofia, N.k anichek Whatsapp kwa namba hii 0784293629 au kawaida 0753327586 Nahitaji anifundishe ndani ya wiki moja tu, akihitaji malipo Ntamlipa pia kulingana na maelewano yetu kabla ya kunifundisha.
Wana jamii Tafadhali Nilikua nahitaji kama kuna mtu anaefahamu Bei ya Zile rangi kwaajili ya kuprint T shirt, na kama atakua anajua mahali zinapopatikana, pamoja t shirt plain zenye bei rahisi angalau ziwe 5000, msaada tafadhali.
Wakuu Nahitaji Kuanza biashara ya Ku print T shirt ila kwa bahat mbaya bado sijajua sehemu wanapouza T shirt plain Zenye bei nafuu ambazo nikiprint Zitaweza kunipa faida...so nilikua naomba kujua kama kuna mtu anajua Sehemu yenye t shirt za 5000 angalu ili niweze kupata mzigo wa kutosha.
Msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.