Recent content by venus ally

  1. V

    Dar Lux Services

    Uvivu wa fikra,uswahili na upumbavu ndyo umewajaa nyote mlocomment negatively..against Dar LuxBus.. tatizo hampendi kuwa Creatives, actives and honest...hii ni principle fupi tu kuyakuta mafanikio hayo anoyahusisha na Mkuu wa Kaya.. Opportunities sasa zipo tena nyingi tu lkn ninyi mkitumia muda...
  2. V

    Dar Lux Services

    wala haijaingiliwa tunawataka watu kama nyie ambao ni wambea sana
  3. V

    Dar Lux Services

    ukiona mwezako ananyolewa na wewe tia zako maji usubirie kelele za chura hazi mzui tembo kunywa maji
  4. V

    Dar Lux Services

    ka kwambia nani kwamba biashara ina asili yake kama na ww unataka kufanya biashara fanya biashara ni akili yako
  5. V

    Dar Lux Services

    inaelekea huyoa aliye kuja na kuliweka hapa kwenye mtandao ni mbeya sana mimi naona usione hata mtu kajamba wewe utakuja kuweka mtandaoni hivi nikuulize unapata faida gani acha hizo
  6. V

    Dar Lux Services

    wala sijakurupuka mimi nipo unajua kama mimi ndio kigogo mwenyewe mnamuhusisha hapo acheni wivu wa maendeleo
  7. V

    Dar Lux Services

    :eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows: labda uazishe ya kwako ndio ukaifanye ya kusambazia mafenesi na korosho unalooooooooooo mimi naona ukaoge
  8. V

    Dar Lux Services

    unajua mdau wewe acha kujadili ya watu jadili yakwako kwamba utatoka vipi kimaisha wakati ww unaandika haya hakuna mtu anaye kulipa wakati wenzako wanaingiza taratibu ww unabaki kupiga domo. pole weeeeeeeeeee ila wanatoa kazi ya ukonda kama unataka kwa ww unaweza ukapata badala ya kupiga domo...
  9. V

    Dar Lux Services

    inaeleke wewe ni shushu. unaambiwa kizuri kinajiuza na kibaya kina jitangaza
  10. V

    Dar Lux Services

    kama unashida ya kazi unaenda kuomba na sio kuandika upuuzi huku kwenye mitandao maendeleo hayo acha wivu hebu anzisha na cha kwako na wewe upate jina
  11. V

    Dar Lux Services

    huo ni wivu wa maendeleo inamaana yeye akianzisha hiyo kampuni tayari mnamuhusiha na kigogo . hivi unafikiria hapa tanzania hakuna watu ambao wanashindwa kufanya hivyo tatizo la watanzania mna wivu ndio maana hatuendelelui
Back
Top Bottom