Recent content by venance Ndegeya

  1. V

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    Si mulishaambiwa kuwa yuko Italy? Sasa mnataka nini zaidi?
  2. V

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    We siyo mkatokiki acha kudanganya.El kakosea tuseme ukweli kama kweli tuko mature
  3. V

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Hata mimi huyo anayejiita askofu Gwajima nimemdharau sana hana maadili ya ukristu kabisa,wafuasi wake sijui aliwapa limbwata gani
  4. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yadoda Morogoro Mjini

    Mhhhhh! Hapo kweli kuna katatizo watu kiduchu hivo?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    You Dont elect EL for development? Your intention is to get out CCM you might be abnormal
  6. V

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Gwajima siyo mtumishi wa Mungu,ni mpiga madili tu akisaidiwa na Lowasa
Back
Top Bottom