Recent content by venance aidan

  1. V

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Tumejenga taifa la watu wazushi. Daktari wa PhD anazusha. Alizusha mambo mengi akiwa mwenyekiti wa kamati teule ya bunge na uzushi wake unatugharimu hadi leo. Akatuaminisha kwamba Richmond na Dowans ni moja na kwamba zote zina mikono ya RA na EL. leo hii haya yote yamethibitika kuwa ni uongo na...
  2. V

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Duh! Jamaa anashangaa mitambo ya mabilioni imezimwa na wajamaa wanaoota ndoto za Nyerere miaka 12 baada ya kifo chake. Kweli Watanzania tumelogwa...Tunakataa umeme wakati tuko gizani...Si tutekeleze basi mawazo ya Mnyika kwa kutaifisha mitambo au tukachunguze katika soko la dunia bei yake na...
Back
Top Bottom