Kuna michezo flani, siku hizi siioni, ni kiini macho, mtu anachomwa kisu shingoni, kinatokea upande wa pili wa shingo na damu zinabubujika, lakini baada ya muda kisu kinanyofolewa na mtu anakuwa kawaida![emoji56]
Au mtu anameza karatasi anatema msimbazi, jamani! wakati huo kwenye show yake watu...
Umefanikiwa kwenye hizo biashara zako? Tunza siri Mkuu acha ubishi.
Tatizo la wivu sio la watanzania ni la walimwengu. Kama huna wivu kabisa basi umepungukiwa sifa za kuwa mtu, wewe ni malaika pengine.
Sawa inaongoza lakini ili uongoze si lazima kuwe na unaowaongoza?
Okay, inafuatiwa na? Je, kuna kanda haipo kwenye haya mashindano?
Tz unyama ni mwingi.
Na kwakweli sehemu kubwa ya mfumo wa elimu yetu isingekuwa hii ya Physics na Chemistry (hii wangesoma wachache tu)
Wengi wetu huku...
Wewe Ni Dr? Maana uandishi wako si mtu wa propaganda. Crip hakuna na maelezo yako hayaeleweki, fafanua hizo crazy points moja baada ya nyingine vizuri tuelewe.
Kanda ya ziwa ni vile kuna reporters wengi, huko kwingine pia mambo ni moto sema no reports.
Ka-Tz ketu kwa mujibu wa takwimu kanashika nafasi za juu sana kwa kuamini MIUJIZA.
Taarifa ya polisi inasemaje kuhusu chanzo cha ajali?
Ni barabara finyu?
Ni ubovu wa gari?
Ni dereva kukosa uzoefu?
Ni alama za barabarani hazionekani au hazipo?
Ni ukosefu wa huduma za uokoaji?
Ifike mahali tukubali uzembe wetu ni mkubwa tunapotumia barabara hasa tunapojifanya tuna haraka.
Wewe unaonekana mbishi hatari, kuna mambo mawili hapa, huenda unaijua sana dini au huijui kabisa.
Na possibility ya kutoijua ni kubwa maana watu wanaojua huwa si waongeaji sana.
Katika comment yangu Mimi sijataka niheshimiwe wala nipendwe, rudia kusoma uelewe kusudi langu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.