Kwa mfano majuzi mh. Msigwa alivyo wasilisha taarifa kuhusiana na majangili, kuwa wanaohusika na ujangili ni abrahaman kinana na viongozi wengine ndani ya serikali nilitegemea emmanuel nchimbi atamwambia mh. Msigwa athibitishe lakini alivyokosa aibu akakanusha kuwa abrahaman kinana hausiki ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.