mimi huwa nakaanaga kitunguu mpaka kinakuwa brown,halafu na tia nyanya nakaanga mpaka zinaiva,natia karoti,then ndo natia hizo nyama naoneza na maji kidogo,nafuika mpaka zinaivaa,naangalia kama mchuzi hautoshi naongeza maji naicha inachemka kwa mda kidogo then naepua(waweza tia nazi kama...