Recent content by vanilagal

  1. V

    JamiiForums Tanzania Plot for sale!mbezi ya Kimara,temboni

    hello!kiwanja kinauzwa mbezi ya Kimara,kituo temboni kabla ya kufika mbezi mwisho upande wa kushoto ukiwa unatokea ubungo,km 4 from Moro goro road,ni nusu heka na bei!milion 16 hakina hati ila kina ile ya serikali ya mtaa!!contacts:0712882855.karibuni.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta Kiwanja bei poa

    Hello,kipo mbez temboni heka moja bei 25 milion,,kingine bunju b ni 30 kwa 30 mita/miguu milion 8 vyote havijapimwa huduma zipo za jamii,4 km from main road if r interested check me on 0712882855.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Na kama utahitaji viona karibu pia.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Naweza ila samahan simu yangu nimeshindwa upload kabisa.samahan naomba no.yako niweze kukutumia hata nitafute options uvione!karibu.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Sawa thanks.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Ni miguu namanisha
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Hapana boss check hapo juu nimesema havijapimwa bado.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Ukifika bunju b unaenda upande wa kushoto nikiwa natoka huku tegeta ni straight then nakunja kushoto.asante.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Kuna boko,basihaya,bunju A,sasa vyangu ni bunju B,kinondo ambapo nikisimama katika viwanja naona wazo hill au Bunju B KINONDO,karibu na wanapochimba kokoto kwa sasa.asante na karibu
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Sawa tutaongea lakin unipigie tukavione wote kwanza ukaridhike ndipo makubaliano yafuate.karibu
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Dar es salaam,mbele ya tegeta.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Bunju B

    Habari!kuna viwanja bunju B kilomita 4 toka bunju barabaran nauza milion nane ni 30 kwa 30 na kingine milion kumi ni 25 kwa 25 hiki kina msingi wa vyumba vitatu pia umeme,maji vinapatikana karibu na eneo hilo na kingine temboni saranga heka moja, milion 25,huduma za jamii zinapatikana pia,lakin...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Mnada.:Meza nipe bei nikuuzie

    Nipatie
  14. V

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nitapataje mchele toka Mbeya?

    Thanks, ninawatafuta.
  15. V

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nitapataje mchele toka Mbeya?

    Habari!! Nataka nianze biashara ya mchele toka Mbeya, naishi Dar Kimara. Research ndogo niloifanya wateja mahali nilipo wanataka mchele wa Mbeya, nitaanza kuuza rejareja kwanza. Msaada, nitaupataje unifikie hapa nilipo na mchele ni super tu ndio ninaohitaji. Asanteni.
Back
Top Bottom