naona watu wanachanganya speed na acceleration.
mtoa mada ameassume passo imefikia speed ya 80 tayari na V8 imefikia speed hiyo hiyo.
Basically zitakuwa sawa tofauti ni kwamba engine ya passo itakuwa inazunguka zaidi. Ila speed zitakuwa SAWA na ndio maana tochi za askari wa barabarani ni ile...
Aisee kuna jamaa yangu majuzi kanunua Harrier show room Odometer inasoma 75k km.
Nikamwonesha huu uzi akabisha, tukaserch chasis no inspected milage ikaja 198,203 km jamaa akachanganyikiwa [emoji23]
11. Kabla ya kununua jaribu kufuatilia gharama za uendeshaji za gari husika, bei ya gari isikuchanganye.
Kuna gari zinauzwa mkononi kwa bei kitonga sana, ila ukija kufuatilia kiundani gharama za uendeshaji kama vile spea, mafuta n.k ni kubwa. Sasa bei ya gari inakuchanganya unaenda pupa.
Kwa uzoefu wangu harakaharaka jamaa amekosea KUSET TIMING, na mafundi wetu wengi wakishafungua engine wanashindwa kuset Timing wakati ni kitu simple sana.
tena kama imeshindwa kuwaka kwa kick usitegemee starter itawasha....itacrank hadi betri liishe
naungana na wadau wanaosema anza na vitu vidogo mf.
Plug, wachunguze mfumo wa mafuta carb, na tank kama kuna uchafu ama changamoto nyingine, ignition coil na magneto na hatimaye valve kama zina carbon...
Shida ni wiring hapo.
Ile magneto ya pikipiki ina coil zinazalisha umeme kwa matumizi tofauti kulingana na mahitaji. Umeme mwingine kwenye vifaa, Kwenye ignition system n.k
Na nina wasiwasi fundi wako umeme wa kwenda kwenye taa kubwa yeye kachukulia kwenye njia inayopeleka umeme kwaajili ya...
kwa kuangalia nahisi hiyo ya blue ina engine ya V6 na hiyo nyekundu ina 4 cylinder G16 engine .
Ukiachana na masuala ya kwenda na fashion na kuskiza watu wakisema ni gari za wazee, Hizo gari ni imara na pia ni stahimilivu kwenye barabara mbovu pia 4wd yake iko vizuri.
Ila tafuta yenye engine...
Broo....wabongo sisi umasikini ndo shida, kila anayekuja kuipondea Brevis hana sababu zenye mashiko, kwanza 1JZ ni one of the best engines za Toyota japo za D4 zinahitaji uzipe kitu zinataka na zipo efficient sana kwenye ulaji wa mafuta,
sema tu watu washazoea kuabuse magari na pia kiu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.