Recent content by vanadium

  1. vanadium

    Msaada wenu plz

    vp ada ake
  2. vanadium

    Msaada wenu plz

    natafuta shule ya privet A-level nzur mkoa mbeya au morogoro mchepuo wa sayansi PCB na ada ake plz nisaidien...
  3. vanadium

    msaada

    kama kuna mtu anaifahamu vizur shule ya A-level myovizi sec et ina comb za PCBor PCM coz kwenye joining instruction siion na ipo mbeya ..nisaidien kupata joining instructio ..plz plz
  4. vanadium

    Msaada wa kubadilisha combination

    wadau naweza nkabadilisha comb niende ya science....na nkisoma HKL coz gan nzur ya kuchukua chuo??
  5. vanadium

    Je, Nitaweza kusoma PCB?

    nlianza bt kuna wadau wakasema et hawawezi kukuchagua coz ya D ya phyz na serikali hii et wanasema watanipeleka HKL wakat siipendi hata kdogo na sikuichagua hata.
  6. vanadium

    Je, Nitaweza kusoma PCB?

    ahsanten kwa ushauri
  7. vanadium

    Je, Nitaweza kusoma PCB?

    Na tunavyo ambiwa c vilaza wenye division 23
  8. vanadium

    Je, Nitaweza kusoma PCB?

    Wadau et kwa matokeo haya naweza kusoma PCB phy-D Bios-C Chem-C histor-C Geog-D kiswhl-C Math-D english-C Cvcs-D na chaguo la kwanza ilikuwa PCB
Back
Top Bottom