Recent content by van disel

  1. van disel

    Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

    Kiongozi itoee hiyo picha kwenye profile yako ni yangu please mara nyingine tena
  2. van disel

    Ujinga ni nini?

    Mchukue manzi yako Sent using Jamii Forums mobile app
  3. van disel

    Ujinga ni nini?

    Wewe ni mtafuta sifa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. van disel

    Ujinga ni nini?

    Zikoje mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. van disel

    Ujinga ni nini?

    Ujinga ni pale watu wako kwenye majonzi makubwa kwa kiongozi wao kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, raisi anapokea ripoti ya alimasi, mtekaji wa watoto kuuwawa, Unaamua kuweka mb zako ili usome hizo habari kwa undani facebook, ile kufungua to facebook unakutana na lisura la mdada mbaya...
  6. van disel

    Mkatisha tiketi kituo cha Mwendokasi cha Kona tafadhali jirekebishe

    Specify yaani white itakua nini na black itakua nini
  7. van disel

    Mkatisha tiketi kituo cha Mwendokasi cha Kona tafadhali jirekebishe

    Hamna sehem nimesema ni mjamzito rudia kusoma
  8. van disel

    Mkatisha tiketi kituo cha Mwendokasi cha Kona tafadhali jirekebishe

    Kuna njia nyingi za kufata pindi unapokua haujalipwa kwa walioenda shule wanazijua
  9. van disel

    Mkatisha tiketi kituo cha Mwendokasi cha Kona tafadhali jirekebishe

    Kuna sehem nimesema nataka nichekewe?
  10. van disel

    Mkatisha tiketi kituo cha Mwendokasi cha Kona tafadhali jirekebishe

    Kusemwa asemwe mwingine kuumia uumie wewe
  11. van disel

    Mkatisha tiketi kituo cha Mwendokasi cha Kona tafadhali jirekebishe

    Najua lipo. Hata jf ni sanduku la maoni pia
Back
Top Bottom