Recent content by Valuer Mollel

  1. Valuer Mollel

    Nissan X-Trail

    Yani, mimi nina Nissan Xtrail 2008, nimeiagiza Juzi tu. But nimesikia watu wengi wanaziponda sana, na wengi wanalalamika kwamba hizi Gari tatizo Lake kubwa ni Ku chemsha. Sasa mimi ndo kwaaanza nimeanza kulitumia. Naogopa hili tatizo lisije likanitokea. Sasa nawaza ni precautions gani Nichukue...
  2. Valuer Mollel

    Nissan X-Trail

    Mkuuuu weka Mawasiliano Yako Tukutafute. Unatoa Madini mpaka Raha Yani. Daaaah we Jamaaa unajua mpaka kero yani.. Hongera Bro.
  3. Valuer Mollel

    Nissan X-Trail

    Bro. Ofisi zako ziko wapi?
  4. Valuer Mollel

    Nissan & Mitsubish

    Wakuu Kwema? Hope mnaendelea Poa Na Majukumu Ya Kila Siku. Nataka Kununua Gari, but nataka Kujua Kati ya haya magari ipi Iko vizuri katika ulaji wa mafuta, Durability ukizingatia barabara zetu za Vumbi, rough road, comfortability, stability on high way, flexibility, availability of spares...
  5. Valuer Mollel

    Nissan Xtrail, Nissan Dualis na Mitsubish Outlander

    Wakuu Kwema, Nataka Kununua Gari. Naombeni Ushauri Kati hizi Gari which is the best of all in term of Fuel Consumption, Durability as per our roads environment i.e Rough roads, and Price.? NISSAN XTRAIL 2008, NISSAN DUALIS 2008 & MITSUBISH OUTLANDER 2006. Please Naombeni Ushauri Wenu Kati ya...
Back
Top Bottom