Waafrika tunashida sana,
Hatutaki kujituma na kujitoa kama wenzetu wa rangi nyeupe,
Wanajali kazi na kujitoa kwa bidii.
Sisi ukishapata visent na kuitwa boss unabweteka na kujiona boss maisha umemaliza.
Akitokea mtu akafanya kazi kwa nguvu zote na kufanikiwa anaonekana mshirikiana na kwakuwa...
Ni kweli lakini naona the main point hapo ni usibase na kitu kimoja jiongeze na mengine,
Si lazima iwe hayo aliyoyasema hapo ila unaweza fikiria jambo au kitu kingine ambacho unaona utakimudu cha kuongeza income.
Sent using Jamii Forums mobile app