Contradiction ni pale ambapo hoja moja imezungumzwa tofauti ktk maeneo tofauti. Ilitakiwa utoa sehemu mbili tofauti ambazo zinakisiwa kuzungumzia jambo mmoja kw kauli na maana tofauti.
Hujui maana ya contradiction. Wala wakristo hawaiiti contradiction isipokuwa wanachokataa ni kusema eti mungu kamuumba binadamu kw mbegu itokanayo na mchanganyiko wa wanaume na mwanamke, halafu muhamadi ktk mkweli mwamimifu anasema binadamu kaumbwa kw udongo wa mfinyanzi....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.