Recent content by Uzalendo Installer

  1. Uzalendo Installer

    JWTZ badilikeni, Ulinzi wa miaka hii ni wa kutumia akili siyo maguvu ya kubeba kilo 70

    Sisi bado sana.. Wanajesh wanaingia kambini na smartphone za kampuni tofauti... Kuna siku nilkuwa naset 'radiocall' kuweka channel moja hiv..nikakamata mawasiliano ya maafande...duh
  2. Uzalendo Installer

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Katibu asaini pdf leo tudumishe muungano sote...
  3. Uzalendo Installer

    Mfumo wa ajira za Serikali umejaa Ruswa

    PSRS wabaki central recruiter..atoe ajira zote za serikalini, ziwe permanent au temporary.... Hapo haki itaonekana kutendeka
  4. Uzalendo Installer

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tusome marine engineering jaman...mkeka wao watu wachache na hakuna written
  5. Uzalendo Installer

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kweli... Mtaftaji hachoki, akichoka kapata
  6. Uzalendo Installer

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ulitumia web browser inafunguka?
  7. Uzalendo Installer

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Mim nilimuona mtafuta teuzi tu, wengine wakaniponda humu..baadae watakubal tu
  8. Uzalendo Installer

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Dodoma gharama kubwa...watuhurumie
  9. Uzalendo Installer

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ingia kwenye account yako mkuu
  10. Uzalendo Installer

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hiki ndicho ninachojiuliza....
  11. Uzalendo Installer

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wizara ya elimu wametoa majina...
  12. Uzalendo Installer

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wanaandika kabisa wanatafuta watz kujaza nafas 58...anyway tuwavumilie
Back
Top Bottom