Recent content by uyui1

  1. U

    Hivi tume ya uchaguzi kwanini mnafanya haya?!

    Tume ya uchaguzi kumekuwa na ubabaishaji mwingi kwani yanayoendelea mengi ubabaishaji kuanzia upande wa vyakula mpaka malipo. Tukianza na upande wachakula kuna malalamiko mengi waseminishwaji wamenyeshwa chai na viazi mbatata na na kuna baadhi ya wilaya na makande. Sasa sijui kiutaratibu...
  2. U

    TAKUKURU njooni Uyui mfuatilie chagamoto zilizopo kwenye ukaguzi wa Majengo

    Wilaya Uyui kumekuwa na kasumba moja ambayo nahisi TAKUKURU wapo likizo. Kumekuwa na kasumba kubwa katika ukaguzi wa majengo yao ambapo yaliyokamilika ambapo ambayo wanakuandikia mapungufu yaliopo katika ujenzi wako wenyewe wanaziita hoja. Katika kujibu hoja hizo hili jengo lako lipokelewe na...
  3. U

    KERO TAMISEMI, Wizara ya Elimu mko wapi kwa manyanyaso haya Uyui?

    Mr w Jamaa bado yupo na kuna shule kama mbili nasikia kapachika vimada wake makazi na ibri
  4. U

    KERO TAMISEMI, Wizara ya Elimu mko wapi kwa manyanyaso haya Uyui?

    Waziri wa elimu tunaomba Muongozo wa kufanya kazi wakati wa likizo
  5. U

    KERO TAMISEMI, Wizara ya Elimu mko wapi kwa manyanyaso haya Uyui?

    Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui. 1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa ni mizunguko mwanzo mwisho na mpaka sasa pesa hawajalipwa, imefikia hatua ya matisho kutoka kwa...
Back
Top Bottom