Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa Vwawa, Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka ndolezi, kijiji cha isela wilayani mbozi katika mkoa wa Songwe, Tanzania.
Kipo kati ya vimondo vizito kumi (10) vinavyojulikana duniani, kimondo hiki...