Recent content by Uyogas

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mlemavu afika kileleni mwa Mlima Kilimanjaro

    Kinachoangaliwa ni rekodi kwamba ni mlemavu lkn kafika kileleni, maswala ya kuchoka hayana nafasi hapo
  2. U

    JamiiForums Tanzania Jumba refu zaidi Afrika Mashariki lafunguliwa Tanzania

    Lowasa akiingia ikulu magorofa kama hayo yataota kama uyoga, maana atahamasisha watu kufanya kazi mchana na usiku
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ajali Segera: Basi la kampuni ya Metro lapata ajali, baadhi ya abiria wapoteza maisha

    Tumia akili kuchangia hoja za majanga au vifo, usiweke ushabiki wa vyama angali ndugu zetu wamepoteza maisha, au we ni msomali nini! Usiye na huruma, we huoni kama uko tofauti na wachangiaji wote hapa
  4. U

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya tarehe 26.10.2015 yataandika

    Gazeti fulani ivi > ccm tulikupenda, laki mungu amekupenda zaidi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Burundi is now playing a new political game in army but political has its specific place

    Mambo ya burundi waachie kwanza wenyewe kwa miezi hii miwili, tubonge ya kwetu yaliyoko jikoni na hatujui yatapakuliwa na yupi
Back
Top Bottom