Mimi siyajui kwa undani mambo ya Zbr, lakini kwa uelewa wangu huo mdogo, Zbr si wezi wa mali za umma kama bara. Ninaamini kwamba kama Zbr itakuja kujivua kutoka katika kolonila Tanganyika, basi ndani ya miaka michache watakuwa mbali. Swali ni je? wanaweza kujitoa katika mnyororo wa Tanganika?
Kitendo cha JK kutaka katiba hii ipitishwe yeye akisha maliza muda wake ni ushahidi tosha kwamba yeye mwenyewe haipendi katiba pendekezwa ila majamaa yamemzidi nguvu. Hivyo anafikiri Rais ajae anaweza akawa na ubavu wa kupambana na washupaza shingo wa chama chake.
Suala la RC Arusha kutaka rushwa kutoka kwa Sipora siyo siri, inasemekana hata takukuru walipewa taarifa ili wakamate RC , lakini serikali iliingilia kati kuzuia aibu isitokee. Nikusema kwamba manbo yanayoendelea maofisini ( ufisadi) yanabaraka ya serikali ya ccm. Ndiyo maana maDED huisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.