Recent content by Uungwana Vitendo

  1. U

    GE2025 Dkt. Slaa: Nimeshiriki kampeni nyingi lakini sijawahi kuona ninayoyaona safari hii. Vyama havitamki masuala ya muhimu

    Achague chama kimoja akawafundishe kusema kusema hayo ya muhimu. Pia akumbuke 2005 -2010 walivyotumika kuuua vyama vingine
  2. U

    J.K. Kikwete - Overstaying your usefulness!

    Acha uongo na chuki
  3. U

    PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

    Sio kweli kwanza sio hakimu ni jaji. Na sio mzanzibar ni mtu kutoka bara
  4. U

    PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

    Mnaobwabwaja hapa msiojua kitu zaidi ya chuki. Hii ni ibada ya eid ya kuchinja kutekeleza Sunna ya nabii Ibrahim. So kuchinja Kwa ajili ya mungu na kwenda kuchinja Kwa ajili ya mizimu bora kupi
  5. U

    PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

    Kuchinja ni ibada ,mbuzi ni mtu mmoja. Ng'ombe ni watu saba na ngamia ni watu 14. So mnaweza kununua ng'ombe watu saba mkachinja Kwa nia Moja .
  6. U

    PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

    Acha matusi wewe pia acha ujinga ng'ombe nchi hii haiwezi kuisha labda itokee janga . Ng'ombe au mifugo Kwa ujumla ndio biashara inayolipa zaidi katika biashara ya chakula. Acha roho mbaya hapo hakuna anayeabudu sanamu
  7. U

    Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

    Ethiopia ilitawaliwa na mwanamke kipindi cha nabii Suleiman. Sikilizeni hiyo video mpaka mwisho sio kipande
  8. U

    Uchaguzi wa mwaka 2000 Chadema haikuwa na mgombea Urais

    Ilishiriki uchaguzi wa bunge na madiwani
  9. U

    Hii Kete ya Janabi inavosukumwa ni VEMA lakini Gharama za kuzunguka manchi yote zinatoka wapi?

    Mawazo gani yasiyokuwa na mashiko. Kama sio ndio mwanzo wa kuwa mchawi
  10. U

    Hii Kete ya Janabi inavosukumwa ni VEMA lakini Gharama za kuzunguka manchi yote zinatoka wapi?

    Haha ,unaonaje unavyojianika mweupe kumbe hata roho hauifahamu . Acha chuki ....xiu
Back
Top Bottom