Recent content by utukufu mwanjisi

  1. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Hizo ndio sehem zetu sasa
  2. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Umri ukifika Third floor tunatakiwa tuwe tumemaliza yote pale kwenye second floor
  3. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Umri ukifika utayakumbuka haya
  4. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Huyu mimi kabisa mkuu....nakaa grocery ambazo mziki tunapiga wenyewe watu wazima
  5. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Umri ushakukataa ukiona hivyo
  6. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    100% kabisa maliza mkuu tusiwafiche hawa madogo
  7. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Hamuoni mzee mpili
  8. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Ni kweli kabisa lakini wakongwe tunakuambia maliza ujana kwenye age ya 20-30 basi ukivuka hapo anza kutengeneza maisha
  9. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Wanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya. Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza ujana pale nilipokuwa na umri wa 20-30 na nilipofika 31 nilikuwa nishamaliza mambo ya ujana ndio...
  10. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bonifae Jacob: Sio rahisi kina Mdee kurejea CHADEMA na haiwezekani kuwa siri

    Chadema wakifanya mistake ya kuwarudisha hao...watakuwa ni wapumbavu ....
  11. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Duru: Lukuvi kumrithi Kinana?

    Hiyo nafasi inaendana na umri sio ya kupewa kijana
  12. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Wadau waomba Tundu Lisu & others waanzishe chama kipya!

    Wadau 😀😀😀😀😀😀
  13. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

    😀😀😀😀😀😀😀😀
Back
Top Bottom