Recent content by Utopologist

  1. Utopologist

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Yule mbongo wa Qatari yupo Leo?
  2. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

    Brazil tupigie hao wezi wa mataulo, sisi waafrika tuna timu 8 tu kwenye haya mashindano. Wamorocco na wasauzi hatuwatambui.
  3. Utopologist

    JamiiForums Tanzania FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

    Jamaa kaokoa badala kufunga 😂😂😂
  4. Utopologist

    JamiiForums Tanzania FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

    Yanga anafuzu kama akishinda mchezo wake wa mwisho kwa tofauti ya goli 2 na ASFAR afungwe kwa tofauti ya goli 2
  5. Utopologist

    JamiiForums Tanzania FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

    1-0 FT Ingependeza sana kama ingeisha 2-0
  6. Utopologist

    JamiiForums Tanzania FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

    1-0 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  7. Utopologist

    JamiiForums Tanzania FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

    1-0 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  8. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Si wote tunamemuaga Luca Modric!? Yes Mbape anaweka record zake akikaribishwa barnabeu

    Unaweza sema wako sawa, no ngumu kuamua nani alikuwa bora
  9. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Si wote tunamemuaga Luca Modric!? Yes Mbape anaweka record zake akikaribishwa barnabeu

    Midfield Maestro 🫡 Ni Don Andres peke yake namuweka juu yake kama kiungo bora kabisa duniani miaka 20 iliyopita
  10. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Hivi CAF au FIFA kwanini wasiifungie ligi yetu? Maana yanaendelea ni udhalilishaji wa mpira wetu

    Hawa vyura mapunguani kweli, mnahonga timu zipate matokeo dhidi ya mpinzani ikishindikana unatishia kususa? Susa kmmmk susa!
  11. Utopologist

    JamiiForums Tanzania FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Hiyo ni kwasababu timu zinaahidiwa mamilioni na GSM wakipata matokeo dhidi ya Simba wanaishia kukamia na hayo kutokea.
  12. Utopologist

    JamiiForums Tanzania FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Acha kulialia we chura, tulia dawa iingie.
  13. Utopologist

    JamiiForums Tanzania FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Leo Happy Hour tunakunywa machozi ya Uto knmk 😆😆😆😆
  14. Utopologist

    JamiiForums Tanzania FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Machozi ya Uto 🤣🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom