Recent content by utepe

  1. U

    Jiji Kuongozwa na Ukawa, Je, Kuna Unafuu Wowote Tofauti na Lilivyokuwa Chini Ya CCM.

    Nyinyi hata km mkipewa nchi mtapolwa tu, km vtu vidogo km hiv mmepolwa mkipewa nchi si ndo kabisa. Heb fafanua vzuri mamlaka yapi muliyopolwa ili tujue
  2. U

    Siri za yafichuka kuwekwa ndani mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, wananchi wasema ni chuki za kisiasa

    We we siasa inakupeleka pabaya sana km unatetea na upumbavu km huu mtu kapewa nafasi ya kujieleza kaonekana anajikanyaga hana maelezo ya kuridhisha af wewe unamtetea, sidhani km unafikiri kwa kutumia akili
  3. U

    Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Ngoja nikanunue sasa hiv nione km kweli maana nlitamani hii ishu toka kitambo
  4. U

    Ukweli kuhusu lugha ya kufundishia katika shule za Tanzania

    Hiv nani katuloga sisi watz?!!! Kuna maana gani kumfundisha mtoto kwa lugha ya kiswahili kuanzia chekechea mpaka darasa la saba kwa lugha ya kiswahili af akifika secondary unambadilishia lugha ya kujifunzia na kuwa kiingereza hv tunategemea ufanisi utakuwepo kweli?!! Mwanafunzi ataelewa nini km...
  5. U

    Serikali ipige marufuku watu ambao siyo 'Professional Teachers' kufundisha Private Schools

    Kuna watu vichwa ngumu sana hawaelewi kabisa wanadhani ualimu ni kukaa ubaoni na kuanza kufundisha (lecturing) kumbe sio hivyo kuna vtu vingi vya kufanya naamin non professional teachers hawawez hata kulead discussion darasani hawajui understanding ya wanafunzi inatofautiana, mimi nishawahi...
  6. U

    CCM chukueni hatua ya kumhoji Bashe ili athibitishe tuhuma zake

    Mkuu sjataja jina la mbowe Tafadhali!! Sijajua umesoma comment gani hiyo, umenifanya nirudie kusoma nlichokuwa nimeandika
  7. U

    Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Nyinyi watu nyie mmekuwa km mnafikiri bila kutumia brain hiv kuwaona wananchi na wakuhoji live uwape majib live on he spot nalo limekuwa kosa kweli hii nchi tunawenda wazmu wengi sana
  8. U

    CCM chukueni hatua ya kumhoji Bashe ili athibitishe tuhuma zake

    Alokuwa mtoa rushwa mkuu pale chichiem si ndo yule alohamia kule kwa akina nani hii, mbona yule mkiti wa kile chama cha akina maendeleo alipowachangisha pesa wananchi wa kule kaskazin akiwaahidi kuwa watajenga ofsi ya chama af mpaka sasa hatuoni hata kiwanja hawamuuliz?!! Watu kimya wameufyata...
  9. U

    Kumbe Prof.Safari (M/Mkiti) anazidiwa mamlaka na Lowassa (mjumbe)?

    Nguvu ya cdm iko kwa lowasa bila huyo soon watakuwa waokota makopo
  10. U

    Kwa hapa Dar hizi Sofa nitazipata maduka yapi?

    Si nasikiaga uwanja wa fisi znapatikana au SKU hiz hazpo?!!!
  11. U

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Usilazimishe machine yako kusimama kwani kufanya hivyo lazma inshu ifeli maana mwl unakuwa hauko tayari kwa wakati huo acha mashine isimame yenyewe hapo utafanya kaz mpaka utachoka mwenyewe
  12. U

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA na kuivunja Bodi

    Sasa km watu wanaxingua kwanini wasitumbuliwe?!! Af sasa km hamjui TRA pale kuna mashushushu wanaripoti kwa mkulu kila ovu wanalotaka kulifanya so watu wanataka kuturudisha kule kwa jk acha watumbuliwe tu sasa hv mwendo WA kuisoma namba wote,tumbuaaaaaaaa tumbua
  13. U

    CCM chukueni hatua ya kumhoji Bashe ili athibitishe tuhuma zake

    Huyo ni trump mjomba na hii ni ccm huyo bashe yeye ni nani mpaka kila alisemalo liwe sahihi ulishawahi kusikia mtu WA Republican anakikashifu chama au unaongea tu bila kutafakari mjomba?!!! Bashe km anaona chama hakitendi haki njia ni nyeupe asepe, wapo watu waloamn babu yao atashinda matokeo...
  14. U

    CCM chukueni hatua ya kumhoji Bashe ili athibitishe tuhuma zake

    Nani hajui kuwa bache ni mfuasi wa lowacha?!!! nadhanu na yeye ni miongoni mwa wala rushwa
Back
Top Bottom