Recent content by UTANIPENDA

  1. U

    Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

    Unalia nini mbona wametajwa hapa wanawake Esta wasira, Zainab ashrafu wapo wengi tu
  2. U

    Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

    Zainab ashrafu na Ben saanane
  3. U

    Tofauti ya CHADEMA Arusha Mjini na CHADEMA Temeke

    Nimeona uzi kuhusu uchaguzi wa chama wa jimbo la Arusha Mjini na Temeke Dar es salaam. Nimeona utofauti ambao naona una maana kubwa. CHADEMA Temeke wametoa tangazo la uchaguzi kwa kulalamika kuwa maamluki wameendaliwa kuvuruga uchaguzi. Arusha mjini wametoa tangazo kwa kusema karibuni wote na...
  4. U

    Udhaifu na uimara wa CHADEMA

    kushindwa kwa CCM Arumeru hakikuwa kipimo cha kuwa CCM wamekuwa dhaifu... na wala kushindwa kwa CHADEMA Kalenga sio kipimo cha udhaifu wa CHADEMA. CHADEMA ipo na shida kubwa sana ya msingi ya uwezo wa viongozi wa ngazi za chini hasa kwenye kata na wilaya. Kwa siasa za hivi sasa ambapo CCM...
  5. U

    CHADEMA kanda ya Kaskazini yagawa pikipiki za kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa madiwani

    Hii spidi ya chadema inatia moyo, hizi pikipiki zinatakiwa zipatikane na zipelekwe mpaka vijiji ili kuwakaba magamba mpaka shingoni.
  6. U

    Lema: Nitamburuza Mkuu wa Mkoa mahakamani

    Nimenasa hii kuwa CHADEMA wameshauriana na mpaka sasa wamefikisha jumla ya mashtaka tofauti tofauti TISAya kumshtaki mkuu wa mkoa wa Arusha. Mojawapo ambalo nimesikia Tundu lissu amelikamata yeye mwenyewe ni kitendo cha mkuu wa mkoa kulazimisha polisi wamsweke ndani Mhe Lema (forced prisonment)...
  7. U

    Kilichomponza Maige - aligoma kumpa Mwarabu Loliondo

    wewe good2015, umechanganyikiwa wewe, usibadilishe mada.
  8. U

    Miaka 28 ya machungu ya ardhi Loliondo

    Sumu pole, watu makini uwe wewe? sema watu WEZI wa ardhi.
  9. U

    Miaka 28 ya machungu ya ardhi Loliondo

    MIGOGORO ya ardhi hapa nchini imekuwa tatizo kubwa kiasi cha kusababisha mifarakano hadi mapigano baina ya wananchi kwa wananchi au wananchi dhidi ya wawekezaji. Ukiorodhesha migogoro mikubwa ya ardhi nchini, huwezi kuuacha uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro. Mara kadhaa wananchi...
  10. U

    Wafugaji wa Loliondo hawana kosa

    Na Onesmo Olengurumwa - Imechapwa 05 January 2011 WAKAZI wa Ngororo, mkoani Arusha wako hoi kiuchumi. Wapo wanaosema, "Kesho hatujui itakuwaje." Wengine tayari wamekata tamaa ya maisha wao na familia zao. Kisa: Ni serikali kutaka kufurahisha mwekezaji – kampuni ya Ortello Business...
  11. U

    Kilichomponza Maige - aligoma kumpa Mwarabu Loliondo

    Ezekiel Maige (MB) aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii alisita kutoa ardhi kwa waarabu. Sambamba na hili aligoma kutoa vibali vingi tu kuwindia kwa wageni wengi wakiwemo katibu mkuu wa CCM na kampani yake.Vitalu vingi vimeshikwa na wawindaji wa kiarabu na wazungu. Waliowahi kushika wizara...
  12. U

    CHADEMA mnafungua mlango kuingiza mamluki - mmetafakari vizuri kisiasa kutangaza ajira hizi?

    Nimeona nafasi za kazi za CHADEMA zilizotangazwa na kanda ya ziwa magharibi MRATIBU WA KANDA, AFISA WA KANDA na DEREVA. Zimechambuliwa vizuri sana na mtu mwenye sifa hizo akipatikana chama kitakwenda kwa kasi kubwa. Pamoja na nia njema, nimeshindwa kuelewa kama uongozi huu wa chama umetafakari...
  13. U

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha akamatwa na Vijana wa chama kwa kukashifu viongozi

    Hii habari ni uzushi samson mwigamba na amani golugwa hawawezi kuwa hivyo, hawa jamaa wanapatana sana haya ni mambo ya wavurugaji kutaka kuanzisha chokochoko. Hakuna cha ushahidi huu ni uongo mtupu. Na nyie CDm pelekeni mambo yenu kwenye vikao mnatuharibia sik zetu huku sasa hapa mtafanya...
  14. U

    Sakata la Mkenya wa Dr Ulimboka lawaibua wanafamilia wa Paul Njuguna aliyeuwawa Arusha

    Familia ya mkenya, Paul Chuguna aliyeuwawa na polisi kwenye maandamano ya CHADEMA ya januari 5 2011 amewasili Arusha ili kufuatilia suala la fidia kufuatia mauaji ya kijana wao ambaye aliuwawa na polisi mara tu baada ya kushuka kwenye stendi ya mabasi ya Namanga. Sakata hili limeibuka mara...
Back
Top Bottom