Habari wanajukwaa,
naomba msaada au kueleweshwa,nilimeuziwa kwa bahati mbaya simu ya galaxy s3 demo unit badala ya mobile phone,inafanya kazi kila kitu kasoro kuwa na slot za chip ambazo hazijafunguliwa,kwa wajuzi nifahamisheni kama kuna namna yoyote ya kuifanya mawasilianao ya sauti mana...