Recent content by utakuja

 1. utakuja

  Njoo tujifunze kuweka ROM mbalimbali

  Simple and clear. Yani napenda majibu kama haya.
 2. utakuja

  Internet provider Kwa fiber | Tabata

  Mwanzisha mada, ukikamilisha tafadhali tuletee mrejesho-- wengi wetu tumechoka kununua vifurushi kila mwezi. Mimi pia mkazi wa Tabata.
 3. utakuja

  Msaada Ku-unlock WiFi Router ya Tigo Huawei B315s-22

  Ahsanteni sana wakuu. Nilijitoa muhanga na kwenda kwenye Website yangu pendwa ya Warusi na nikapata tutorial na vitendea kazi (pamoja na za Youtube) nzuri ya kuunlock: https://4pda.ru/forum/index.php?showtopic=700481 hii modem, nimeifungua na kuchukua tweezers ili ku'bootshot' -kitu nilichokuwa...
 4. utakuja

  Msaada Ku-unlock WiFi Router ya Tigo Huawei B315s-22

  Kweli, mkuu! Inawezekana Ku-unlock bila kuifungua na kufanya shoti? Maana kila tutorial niliyopita inatumia njia hiyo?
 5. utakuja

  Msaada Ku-unlock WiFi Router ya Tigo Huawei B315s-22

  Ndiyo, mkuu code inaomba na ukiandika zinaandikika.
 6. utakuja

  Msaada Ku-unlock WiFi Router ya Tigo Huawei B315s-22

  Hapana Mkuu, inatumia Sim card. Ninataka kuifungua sababu inasupport band 2600 ambayo naamini Halotel inatumia.
 7. utakuja

  Msaada Ku-unlock WiFi Router ya Tigo Huawei B315s-22

  Shukrani mkuu nimekuwa naangalia Youtube tutorial na kuna vitu nimejikuta na vikosa, kuweza kui-unlock.
 8. utakuja

  Msaada Ku-unlock WiFi Router ya Tigo Huawei B315s-22

  Habari wakuu, ninahitaji direction kidogo kwa Dar es salaam; ni wapi naweza pata huduma ya kuaminika (fundi) ya kufungua router tajwa kutoka kampuni ya Tigo, ili niweze kuitumia na line nyingine. Hii ni kutokana na Tigo kubadilisha vifurushi vyao vya Home Internet nilivyozoea, na kuweka...
 9. utakuja

  Tuendelee kufurahia.....!!!

  Kwa bahati mbaya hizo GB unazoonyesha naweza kuzimaliza kwa siku moja, na hizo GB za social media kwangu hata hazina maana. Dah! Hivi lini nitaweza kuvuta Fibre hadi kwangu huku(pasipo ushuani mfano: Masaki, Upanga n. K) niepukane na haya mateso.
 10. utakuja

  Hivi ufalme wa BB(Blackberry) umeishia wapi??

  By the time wanastuka, iPhone imeshaaza kuchukuwa wateja wao wa Kibiashara pamoja na wale wa kawaida. Ndipo wakatoa simu yao Blackberry Storm (pichani) kama jibu lao la iPhone, lakini kutokana na matatizo ya ndani ya kampuni; simu hiyo ilikuwa Ina matatizo juu ya matatizo. Kuanza kuharibu...
 11. utakuja

  Hivi ufalme wa BB(Blackberry) umeishia wapi??

  Kwa mujibu wa kitabu cha "Losing the Signal: The Untold Story Behind the Extraordinary Rise and Spectacular Fall of Blackberry" kampuni ya Blackberry, ukiachana na mambo mengine mfano: matatizo ya outage kwenye mfumo wao wa Blackberry Internet Service (BIS) uliopoteza trust ya watumiaji...
 12. utakuja

  Vifurushi vya internet 'visivyo rasmi' kwa makampuni ya simu

  Sibishi kabisa kwa hili mkuu, nimezunguka sana mitandao lakini nimeamua kurudi Vodacom; nimerudi nyumbani. Tigo nilikuwa naitumia Home Internet yao, lakini ipo very tempermental - mara moja inafanya kazi vizuri mara nyingine 4G inashida, mpaka uswitch to 3G ndio utapata atleast 1Mb/s. Mwisho...
 13. utakuja

  Vifurushi vya internet 'visivyo rasmi' kwa makampuni ya simu

  Mhh.. Nimeperuzi menu yote na sijaona kama kipo, kama kipo basi kitakuwepo kwa wateja pendwa wachache. Dah, Voda tupo tu kwa sababu spidi YAKE - ukiondoa Fibre, hakuna mpinzani kwa Tanzania lakini bei zao sigh.
 14. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  Naona bwana High Life anapost mzigo wa kwanza kutoka kwao pamoja na hiyo 1 year warranty. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. utakuja

  Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  https://instagram.com/xiaomitz?igshid=17xje5rq8rtbo Xiaomi/Distributor wao wameanza Officially Tanzania au? Maana hii itakuwa nzuri sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom