Recent content by usiri mbe

  1. U

    JamiiForums Ndugu upande wa baba walinikataa baada ya baba kufariki

    Kisasi ni juu ya Mungu, Huwezi jua mipango ya Mungu kumtumia mama wa kambo kukulea na kukusomesha, inawezekana mama mzazi angekulea asingekusomesha, na usingekua hivyo ulivyo, mshukuru Mungu kwa yote, na uwasamehe waliokukosea ila uishi nao kwa akili.
Back
Top Bottom