Mzazi anasema mimi naenda mahala fulani msitoke hapa niwakute mnaangalia TV.
Mzazi huyu anaongea ilimradi tu bila kujuwa madhara ya watoto kukaa muda mrefu.
Nyumba za sasa choo nazo ndani unakuta watoto na wazazi wameamka akitoka chooni yupo kwenye tv na watoto kuchek season huku ni kuharibu...
Utofauti
Utofauti ni mwamba mi siamini kujenga nyumba moja na kurelax ni maendeleo,bali kuendelea kutafuta hela unafanya vitu tofauti zaidi ndiyo maendeleo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.