Akiongea kwenye kipindi cha hotmix cha EATV mjumbe wa baraza kuu la UVCCM Asenga Aboubakari amedai kuwa Kada Hussein Bashe amesema maneno hayo kwenye vikao na amekiri walikuwa wananunua watu wajaze mikutano.
Pia amedai UVCCM imewaomba madaktari wa chama wamfanyie uchunguzi mzee Kingunge
Ndg zangu wanaukawa kuna tetesi kuwa Mwigulu ameteuliwa kuwa kampeni meneja wa magufuli,
Trust me nimeogopa,nimeshtuka na kutetemeka,Mwigulu alifanikiwa sana kuizima chadema kwa mipango yake na mbinu tofauti mpaka kupelekea makamu wa bavicha taifa kuhama,vijana machachari wakahama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.