Recent content by usikukiza

  1. U

    PreGE2025 Nini Maana Ya kuchapishwa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

    Kila inapofika msimu wa uchaguzi huwa atawala wanajitahidi sana kuwagawa wapinzani. Si mlaumu Dr. Slaa na Lipumba. Kwani wangekuwa pamoja na UKAWA. kazi ilikuwa imeisha. leo tungekuwa na katiba mpya. Lisu ni mpinzani wa kweli si maji taka. ila ndugu zangu wa ACT ndio wanakwenda kufa kabisa...
  2. U

    Msaada jinsi ya kupunguza wivu

    Pole sana. Wivu husababishwa na upendo kupita kiasi. Unachotakiwa kufanya jaribu kuweka mipaka katika mawazo na matendo Yako. Kwa maana wivu mara nyingi huchangia kumpoteza umpendaye au kuleta madhara katika mahusiano Yako. Na wakati mwingine wivu hutokana na aina ya mazingira mliyokutana...
Back
Top Bottom