Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii
Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi.
Kwa mujibu wa utafiti wa...
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Mwaka 1992, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kushika hatamu za uongozi wa Dola ya Tanzania.
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, chama hicho kimeendelea kuwa madarakani, hali inayoendelea kuzua mjadala mpana ndani na nje ya Mitandao ya Kijamii kuhusu...
Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki
“Effects” au matokeo ya kilichotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kinaonesha kuwa kimekusa utendaji wa Serikali za Mtaa kwa asilimia kubwa.
Hapa kwetu Dodoma hali...
Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki
“Effects” au matokeo ya kilichotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kinaonesha kuwa kimekusa utendaji wa Serikali za Mtaa kwa asilimia kubwa.
Hapa kwetu Dodoma hali...
Nina kero inayohusu Halmashauri ya Jiji au Halmashauri ya Ilala, sisi Vibarua tunaosimamia Vyoo vya Halmashauri ya Jiji tunacheleweshewa mishahara mara kwa mara na hatuzingatiwi na Viongozi wa Juu licha ya kuwa kazi tunayofanya ni ngumu.
Wakubwa wao wanachojali ni mapato tu hawajali kuhusu...
Tanzania ipo katika zama ambapo Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni kiini cha mijadala ya Kisiasa, uwajibikaji na matumizi ya haki za kiraia.
Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinaonesha kuna ongezeko kubwa la watumiaji intaneti nchini, kufikia robo ya kwanza ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.