Recent content by username required

  1. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke tupendane tujenge maisha.

    Waliopo mtaani ndio hawa hawa wa humu mtandaoni
  2. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke tupendane tujenge maisha.

    Sawa Naye ana haki ya kupendwa . Mpe namba.
  3. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke tupendane tujenge maisha.

    Dini yangu Muslim Makazi dsm Mwanamke nimtakaye awe anaishi dar Asiwe mwanamke wa mambo mengi Asiwe na mtoto.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

    Bado sijapata mpaka sasa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

    Sawa, nitaingalia.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

    Mnisaidie nipate kituo chenye flow nzuri nijifunze.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

    Nina ishu nje ya hii fani, angalau inanipushi pushi napata ridhiki. Kwa hiyo sina presha sana .
  8. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

    Nilishaenda mpaka hospitali ya kmkm magereza ukonga kujaribu bahati kipindi hicho wakajibu huwa wanawapokea watu wa maabara au pharmacy madaktari wamesitisha maana wanaona kama wanawafundisha upya
  9. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

    Ndio utaratibu huo ninataka kuufata japo nimekuja na huku kupanua wigo .
  10. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

    Nina ishu zangu nazitegemea kuniingizia mia 2 mia 3 .
  11. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

    Huu utaratibu naujua na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa naijua, na ofisi ya dmo iliyopo mnazi mmoja naijua. Changamoto hapo zipo 2 1) Utaratibu ni mrefu si ajabu ukasubiri mwezi mzima na bado ukakosa vilevile. 2)Unaweza ukapangia sehemu ukaripoti vizuri wakasema pamejaa , ilishawahi kunitokea...
Back
Top Bottom