Recent content by User2020

  1. U

    JamiiForums Nipo kwenye ndoa, mume wangu hataki watoto hivyo nikipata mimba natoa kulinda ndoa yangu

    Sijanyoa kwanzia nimalize shule....[emoji3526]
  2. U

    JamiiForums Nipo kwenye ndoa, mume wangu hataki watoto hivyo nikipata mimba natoa kulinda ndoa yangu

    Kabla ya ndoa tuliongelea hilo swala la watoto akasema sio shida tusizae nje ya ndoa tukifunga tu ndoa tutazaa..ndio hayo yakatoea ..kuhusu swala la uzazi wa mpango nimesha mwambia wala sio mara moja..lakini hataki..na kuhusu majukumu anaweza kuhudumia kote bila wasiwasi...binafsi nimeshindwa...
  3. U

    JamiiForums Nipo kwenye ndoa, mume wangu hataki watoto hivyo nikipata mimba natoa kulinda ndoa yangu

    Wazazi wangu hawataki hata kunisikiliza ninachokisema..lakini akiongea kitu yeye anasikilizwa hata kama ni cha uwongo...na kwa wazazi wake yeye ndio provider wa kila kitu ..wazazi wake wanamsikiliza chochote anachosema..
  4. U

    JamiiForums Nipo kwenye ndoa, mume wangu hataki watoto hivyo nikipata mimba natoa kulinda ndoa yangu

    Nimemwambia tutumie njia za uzazi wa mpango amekataa..
  5. U

    JamiiForums Nipo kwenye ndoa, mume wangu hataki watoto hivyo nikipata mimba natoa kulinda ndoa yangu

    Ndoa halali ya kanisani..na vyeti tumetia saini
  6. U

    JamiiForums Nipo kwenye ndoa, mume wangu hataki watoto hivyo nikipata mimba natoa kulinda ndoa yangu

    Mimi nimeolewa nina karibia miaka miwli, sasa mume wangu hataki watoto. Nimebeba mimba tatu na zote amesema hataki na ikabidi nitoe kwa sababu ya upendo na upuuzi wangu. Sababu anazotoa ni kwamba bado hajajipanga kimaisha, na tuna maisha ya kawaida ambayo tunaweza kabisa kumudu gharama zote za...
Back
Top Bottom