Nyumba imekamilika BOMA lenye vyumba vitatu kimoja masta, mashimo ya choo tayari nishafunika , fensi tayari imekamilika.
Naiuza mimi mwenyewe mmiliki hakuna dalali , ina square mita 400 , ipo buyuni chanika kama unaelekea sekondari ya buyuni, sio mbali na barabarabi ni kama mita 100 tu, umeme...