Recent content by UsalitiCOdili

  1. U

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Kitendo cha Dr Slaa kukubali uteuzi wa rais Magufuli,ni sawa na mpishi aliyetelekeza jiko lake likiwa linakaribia kuivisha madikodiko kisha akahamia kwa jirani na kupewa mwiko alambe! Huu ndiyo uzuzu wa wasaliti wote Tamaa mbele mauti nyuma
  2. U

    Katika kujadili historia ya ustaarabu wa Mwafrika, Misri inasimama kama mwalimu bora kabisa!

    UTUMWA WENYE FAIDA Jua linapochomoza, nainua macho yangu na kuitazama mbingu jinsi ilivyopendeza, hakika ni uumbaji wa kustajabisha! Nina kila sababu ya kusema ‘Asante MUNGU kwa siku nyingine’. Najivunia kuwa Mwafrika! Kuwa Mtanzania! Kumekuwepo na mabadiliko ya tabia nchi, mataifa mbalimbali...
Back
Top Bottom